Wednesday, June 11, 2008

SUA CLASSMATES (2001 - 2004)

Hi

Mnakumbukia hizi enzi??? Mambo ya VETA MOrogoro, namwona Mzee Senga (Tai na shati la kijani), Mtega, Ruta na Wife. Mbele Seiya na Mutu. Kwa mbaaali na mwona Nyanana (nguo nyekundu), Wakuganda na Edman.

Haya bwana tutafutane jamani.
















SUA - Classmates: AEA (2001 - 2004) .
Jamani MPO WAPI??????? Tuwasiliane jamani!!

Najua wengine mtauliza kwni wewe upo wapi??? Nacheka kidogo. Mimi infwakti nipo hapa kamujini Dar nakunywa maji ya chumvi. Je wewe, unaye soma hii ujumbe, iko wapi weye????/

All the best,

Son of Peasant - Seiya!

No comments: