Hi Guys!
OLD DAYS! (20/08/2003). Hapa wana-ndugu tulikuwa kwenye sherehe ya kukaribishwa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - Morogoro. ukumbi ni VETA - Morogoro.
FROM LEFT: Agnes Nyanjali, Son of Peasant (Seiya), Prosper Fivao (Hatujakubaliana...), Susan Mkenda (Sister) and Grace Robert.
TUTAFUTANE JAMANI!
DASTUN UPO WAPI NDUGU YANGU????
Kwa taarifa nilizo nazo ndg yangu upo Dar, je ni kweli???? Halafu nasikia sasa ni baba wa familia, je ni kweli??????
Si hivyo tuu bali umenenepa kupita kiasi!!!!!!!!
Fanya mpango tuonane kijana tumetoka mbali, mambo ya Kinunu na Kihonda!!!!!
Napatikana kwa Email: apolinarys@yahoo.com
Ama Mob: +255 713 469 073
By: Son of Peasant - Seiya!

